Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

428 results for Ephrahim Bahemu :

  1. Wanazuoni wa habari kujadili mustakabali wa sekta hiyo Afrika

    Kongamano litafanyika Agosti 28 hadi 29, 2024 katika ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

  2. Dijitali kuzidi kuongeza matumizi ya bima

    Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) Dk Baghayo Saqware amesema watumiaji wa huduma za bima nchini wameongezeka kutokana na urahisi ulioletwa na...

  3. Ufadhili, ushirikiano kufanikisha nishati safi kwa wote

    Takwimu za Wizara ya Afya za mwaka 2017 zinaonyesha watu 22,000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa hewa yanayochangiwa kwa kiasi kikubwa na matumizi ya nishati chafu.

  4. Mfumo benki wafeli, wanafunzi wachota mabilioni

    Hitilafu katika mfumo wa Benki ya Biashara ya Ethiopia umeruhusu wateja kutoa fedha kupita kiasi walichonacho, zaidi ya dola 40 milioni (Sh102.08 bilioni zimechotwa ndani ya siku moja.

  5. Latra: Tofauti za taarifa kero kwenye teksi mtandao

    Changamoto inayolalamikiwa zaidi kwenye huduma ya teksi mtandao ni tofauti ya taarifa za mfumo na uhalisia, Latra na Polisi waeleza.

  6. PRIME Jinsi benki zinavyopigwa mabilioni ya fedha

    Benki Kuu ya Tanzania yabainisha Sh10. 28 bilioni zimeibwa ndani ya mwaka mmoja.

  7. Balozi Norway ataja fursa, changamoto kilimo nchini

    Balozi wa Norway nchini, Toni Tinnes amesema Tanzania inapaswa kuwa na mipango ya kutumia kikamilifu fursa iliyonayo katika kilimo ili kuwa na uhakika wa chakula.

    New Content Item (1)
  8. ATCL: Ndege haikuwaka moto tatizo lilikuwa dogo, la kawaida

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesema tukio lililotokea katika ndege yake aina ya Airbus A220-300 iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda jijini Mbeya kupata hitilafu kwenye moja ya injini...

  9. PRIME Hekaheka injini ya Airbus ya ATCL ikipata hitilafu angani na abiria 122

    Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege kupata hitilafu ikiwa angani.

  10. Usajili laini za simu waponza kampuni, TCRA yashusha rungu

    Kampuni za huduma za simu nchini zimetozwa faini ya zaidi ya Sh2 bilioni kwa kukiuka kanuni za usajili wa laini ikiwa ni hatua iliyochukuliwa na mdhibiti wa sekta hiyo katika kushughulikia...

Previous

Page 10 of 43

Next