Munkunda awapongeza Benki ya Akiba kwa kutoa elimu ya fedha
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Munkunda ameipongeza benki ya Akiba kwa kuwa mstari wa mbele kutoa elimu ya fedha kwa vijana, hususan katika nyanja ya kujiwekea akiba, huduma za mikopo...