Madaktari Bingwa kupiga kambi siku tano Simiyu Kambi hiyo ya matibabu ya kibingwa itaanza Juni 12, 2023 hadi Juni 16, 2023 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Simiyu.
Transfoma zahujumiwa, Tanesco yapata hasara Sh21 milioni Transifoma mbili za umeme vyenye thamani ya zaidi ya Sh21 milioni zilizokuwa kwenye maeneo ya vyanzo vya maji zimehujumiwa kwa kuharibiwa na kuibwa nyaya za kopa.
Saratani ya macho tishio kwa watoto Watoto waliogundulika na saratani ya macho hapa nchini kwa mwaka 2022 walikuwa 214, hii ni ongezeko ikilinganishwa na watoto 136 mwaka 2021.
Tarura Meatu kuachana na madaraja ya chini Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (Tarura) Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu imeanza kuachana na ujenzi wa madaraja ya chini (drift) kwa kujenga madaraja ya juu kuwezesha barabara za wilaya hiyo...
Daraja lajengwa kuokoa wanawake, wanafunzi Mto Mwanzagamba uliokuwa kikwazo kwa wanawake wa Kata ya Mwanyahina kwenda kupata huduma za afya ikiwemo kujifungua katika Hospital ya Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu umepatiwa ufumbuzi baada ya...
TPDC kutafiti mafuta, gesi Bonde la Eyasi Bonde la Eyasi Wembere liko katika mkondo wa Bonde la Ufa ambalo pia linapatikana katika nchi jirani za Kenya na Uganda ambazo tayari zimeanza miradi ya utafiti wa mafuta umefanyika huku Uganda...
Wadau watoa ya moyoni Serikali kuruhusu “Michomoko” Baada ya kuruhusu magari madogo maarufu kama “Michomoko” kusafirisha abiria, wadau wa usafirishaji wamezitaka taasisi na mamlaka husika kusimamia utii na utekelezaji wa sheria za usalama...
Watu 71 hufariki kwa TB kila siku nchini Kutokana na jitihada ndogo za kukabiliana na maambukizi yake, takwimu zinaonyesha watu 71 hupoteza maisha kila siku kutokana na ugonjwa wa Kifua Kikuu.
Wenje acharuka ongezeko la migogoro nchini Amesema kuimarika migogoro hiyo inasababishwa na uongozi uliopo madarakani ambapo haiwezekani mtendaji ambaye hajasoma aongoze wasomi na wafanikiwe kiutendaji.
Polisi aliyeshambulia mwanaye afikishwa mahakamani Askari Polisi mwenye namba H4178 PC Abati Nkalango (27) Januari 15, 2023 alimshambulia kwa fimbo na kumsababishia majeraha mtoto wake Benedicto Abati (7) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...