Search

176 results for Suzy Butondo :

  1. Wakulima 25, 000 kunufaika na mradi wa kilimo Tabora, Shiyanga

    Wakulima 25,000 wa halmashauri za Mkoa wa Shinyanga na Tabora wanatarajia kunufaika na mradi wa vijana kilimo biashara utakaowasaidia kulima mazao yanayostahimili ukame ikiwemo, alizeti, mtama...

  2. IGM yafanyia kazi malalamiko ukiukwaji haki za binadamu mgodini Mwadui

    Jumla ya malalamiko 5,573 yahusuyo ukiukwaji wa haki za binadamu katika mgodi wa Almasi Mwadui, mkoani Shinyanga, yameshughulikiwa na Baraza Huru la Usuluhishi (IGM), lililoanza kazi Novemba...

  3. Wanakijiji 3, 000 wapigwa jeki ujenzi wa zahanati

    Kabla ya ujenzi wa zahanati hiyo, wanakijiji hao walienda kutibiwa Muleba, Rubya, Kaigara na Mugana umbali wa zaidi ya kilomita tano.

  4. Walalamikia kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa ugomvi wa kifamilia

    Wakazi wa Kijiji cha Nhobola Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamelalamikia faini ya kati ya Sh300, 000 hadi Sh1 milioni wanayotozwa na walinzi wa Jeshi la Jadi maarufu kama...

  5. Atupwa jela maisha kwa kumnajisi mwanafunzi wa la kwanza

    Kaliyango Maganga (55) anadaiwa kutenda kosa hilo na kushtakiwa Julai 30 mwaka huu, kisha kufunguliwa kesi ya jinai namba 240/2023.

  6. Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Shinyanga

    Katika shitaka hilo namba 14 la mwaka 2022 washtakiwa wakiongozwa na Salawa Ndeleama aliyewalipa Sh1.2 milioni kwenda kuumua kaka yake, Mayala Ndelema na Mkewe, Nyamizi Mserengeti; fedha hizo...

  7. Sh13.38 bilioni zaboresha Kilometa 1,178 za barabara Shinyanga

    Shinyanga. Wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Shinyanga imeboresha miundombinu ya barabara zenye kilometa 1,178 zinazoweza kupitika kwa urahisi wakati wote huku kilometa 277 kati ya hizo...

  8. Sh60 bilioni kuboresha bandari 15 Kanda ya Ziwa

    Serikali imetenga Sh60 bilioni kuboresha miundombinu ya bandari 15 zilizopo mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa, zinazosafirisha mizigo kwenda nchi za Afrika Mashariki.

  9. Takukuru yakagua miradi 17, yabaini mapungufu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Shinyanga imefuatilia miradi 17 ya maendeleo yenye thamani ya Sh5.6 bilioni inayotekelezwa na Serikali ikibaini baadhi kujengwa chini ya...

  10. Watoto wafariki dunia kwa kukosa hewa wakicheza kwenye gari

    Watoto wawili wanaokadiriwa kuwa na miaka kati ya 6 na 7 wamefariki dunia kwa kukosa hewa wakati wakicheza ndani ya gari katika Kitongoji cha Ng’ung’ula Kijiji cha Jomu kata ya Tinde Wilaya ya...

Page 1 of 18

Next