Mwafaka mpya watuliza mashambulizi Mashariki ya Kati Wapatanishi hao wanaendelea kusimamia mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja kati ya Washington na Tehran wakilenga kudumisha utulivu na kufungua njia ya mazungumzo ya kisiasa baina ya pande hizo.