Waziri Ndaki awataka wafugaji kubadili mbinu Waziri wa Mifugo na Uvuvi awataka wafugaji kubadiki mbinu za ufugaji ili kupunguza migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima.
Matumizi holela antibiotiki kwa wanyama na athari kwa walaji Inakadiriwa kufikia mwaka 2030 watu zaidi ya milionni watakufa kila mwaka kutokana na dawa kushindwa kuwatibu kwani vimelea vya magonjwa vitakuwa vimejenga usugu unaotokana na matumizi holela ya...
Waziri Jafo aagiza waliovamia mto Ruaha kuondolewa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk Selemani Jafo ameagiza wananchi waliovamia vyanzo vya maji ikiwamo katika Hifadhi ya Ruaha kuondolewa katika maeneo hayo.
Mjamzito adaiwa kubakwa hadi kufa Iringa Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia mkazi wa Manispaa, Mohamed Njali, kwa tuhuma za kumdhalilisha kijinsia mama mjamzito, Atka Kivenule na kumsababishia kifo chake.
Mkurugenzi FOA Motors akamatwa akidaiwa kutapeli Mkurugenzi kampuni ya Foa Motors amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa tuhuma za kutapeli Sh150 milioni kwa ahadi za kuwaagizia magari wateja wake.
Marekani yaipa Tanzania mabilioni kukabiliana na Uviko 19 Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) imetoa dola milioni 44 kuisaidia Tanzania kukabiliana na ugonjwa wa Uviko 19.
RC Iringa azindua mpango utoaji pembejeo Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amezindua mpango wa utoaji wa pembejeo na elimu kwa wakulima kupitia duka model katika Kijiji cha Kalenga kilichopo Mkoa wa Iringa.
Mauaji ya tembo yapungua hifadhi ya Taifa ya Ruaha Vitendo vya ujangili katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha vinavyohusisha mauaji ya tembo na biashara ya meno ya tembo vimepungua baada ya Serikali kuweka mkazo katika kukomesha biashara hiyo nchini.
Wanaume watakiwa kuwashirikisha wake zao umiliki wa ardhi Imeelezwa kuwa migogoro mingi ya ardhi na mirathi inawaathiri wanawake kwa sababu ya kutoshirikishwa na waume zao katika umiliki wa radhi.
Wakulima kutumia bundi kudhibiti panya shambani Wakulima zaidi ya 200 kutoka katika wilaya ya Iringa na Mufindi Mkoani Iringa wamepewa mafunzo kuhusu matumizi ya bundi kudhibiti visumbufu vya mazao mashambani na kuacha kumuhusisha bundi na...