Wanafunzi walionusurika ajali ya Lucky Vincent wahitimu masomo yao
Wanafunzi watatu waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Lucky Vincent, wakanusurika katika ajali ya gari iliyotokea katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Mei 2017, wamehitimu masomo yao ya...