Mji wazizima mapokezi mwili wa Askofu Mwanisongole Mji Mdogo wa Vwawa leo Desemba 30, 2021 umezizima ukiupokea mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Tanzania Assembles of God (TAG), Dk Ranwell Mwanisongole baada kuwasili ukitokea jijini Dar...
Ujumbe wa Krisimasi Watanzania wameungana na Wakristu wengine duniani kusherehekea sikukuu ya Krisimasi huku katika ibada kwenye makanisa mbalimbali nchini ujumbe kuhusu amani, kuonea huruma wasionacho, kujikinga na...
Kanisa lawaita wananchi wakahamishe makaburi ya wapendwa wao Wakazi wa Vwawa wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe waliozika ndugu katika makaburi ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Patrick Parokia ya Vwawa wametakiwa kufika kanisani hapo kupata utaratibu wa...
Basi la Classic laua Songwe Mtu mmoja raia wa Congo ambaye hajatambulika jina lake amefariki dunia katika ajali ya Basi aina ya Classic iliyohusisha malori matatu iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Ilonga...
Watendaji wa ardhi wamchefua RC Watendaji wa Idara ya Ardhi katika wilaya zote za Mkoa wa Songwe wamenyoshewa kidole kwa utendaji usioridhisha katika kutekeleza majukumu yao, yakiwamo ya ukusanyaji wa maduhuri ya Serikali na...
Watu 24 wakamatwa wakizingira kituo cha polisi Songwe Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula.
Maduka 43 yateketea Tunduma Moto ulioanza kuteketeza maduka katika Soko la Manzese mjini Tunduma mkoani Songwe kuanzia alfajiri ya leo Jumanne Novemba 16, 2021 umedhibitiwa huku maduka 43 yakiteketea.
Moto wateketeza soko Tunduma Soko la Manzese lililoko katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma mkoani Songwe linawaka moto muda huu.
Madiwani Ileje wataka Tanesco kuwadhibiti vishoka Madiwani katika halmashauri ya Wilaya Ileje mkoani Songwe wameliomba Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuanza kutoa vibali kwa makandarasi wanaokwenda kufanya kazi ya kusuka nyaya za kuingizia...
Madiwani wataka wafanyabishara wa vyuma chakavu wadhibitiwe Imeelezwa kuwa biashara ya vyuma chakavu inayoendelea imekuwa chanzo cha uharibifu wa miundombinu na wizi wa vifaa vya majumbani.