Katibu mkuu EAC, Balozi Kazungu wajadiliana kuimarisha ushirikiano
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),Dk Peter Mathuki amefanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu kuhusu mambo muhimu yanayohusu mtangamano ya jumuiya hiyo.