Search

63 results for Ramadhani Ismail :

  1. Uchimbaji madini tishio linalohatarisha uhai wa hifadhi za Manyara, Tarangire

    Sekta ya utalii inaongoza nchini kwa kuingiza fedha za kigeni. Katika pato la taifa mchango wa sekta ya utalii ni zaidi ya asilimia 18.

  2. Bogoss kuisindikiza Sikinde miaka 40 ya kuzaliwa

    Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika viwanja vya Bandari Tandika jijini Dar es Salaam

  3. VIDEO: Vurugu zatawala uchaguzi jijini Arusha

    Matukio ya mgombea kujeruhiwa, mbunge kupigwa, viongozi wa vyama na wafuasi kujeruhiwa ni baadhi ya mambo yaliyotawala jijini Arusha katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana.

  4. Vurugu zaibuka uchaguzi Arusha, polisi wachunguza

    Jeshi la polisi mkoani Arusha limefungua jalada la uchunguzi wa matukio ya vurugu katika uchaguzi kata ya Kaloleni jijini Arusha baada ya watu wawili kuchomwa visu huku mbunge wa Arusha mjini...

  5. DED, ofisa tawala wajitosa kumrithi Profesa Majimarefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, John Shari na Ofisa Tawala wa wilaya hiyo, Michael John ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliojitokeza kurithi nafasi ya ubunge wa Korogwe...

  6. VIDEO: Saa 12 muhimu za Dk Kigwangalla

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amezungumza na Mwananchi akiwa wodini Mwaisela katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akisema hana mengi zaidi ya shukrani kwa Mungu na wote...

  7. Tanroads waombwa kuweka matuta alipopata ajali Kigwangalla

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) wameombwa kuweka matuta katika barabara zilizopo maeneo ya mapito ya wanyamapori ili kupunguza ajali.

  8. Viungo watikisa usajili Ligi Kuu

    Wakati Klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara zikisubiri kwa hamu uhakiki wa usajili zilizofanya, safu ya kiungo imetikisa mchakato huo uliokamilika Alhamisi iliyopita saa sita usiku.

  9. Kulikoni vyakula kupanda bei wakati wa Ramadhan?

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan unaendelea. Ni mwezi ambao waumini wa dini ya Kiislamu wanalazimika kwa mujibu wa dini yao kufunga kujizuia kula na kunywa kuan-zia alfajiri hadi kuzama kwa jua.

  10. VIDEO-Ndoa ya aina yake yafungwa Liwale

    Ndoa kati ya Jivunie Mbunda na Bahati Ramadhani imezua mjadala katika mji wa Liwale mkoani Lindi.

Previous

Page 4 of 7

Next