Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

87 results for Ramadhani Ismail :

  1. Shirika la Posta lashauriwa kukumbatia Tehama

    Shirika la Posta Tanzania limetakiwa kuyapa kipaumbele matumizi ya Tehama ili kuendana na kasi ya ushindani ya utoaji huduma na nchi zilizoendelea.

  2. PRIME Latra yajipanga kupiga mnada bajaji korofi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imeanza mchakato kuomba ruhusa ya Mahakama ya kuzipiga mnada bajaji zitakazomatwa zaidi ya mara moja zikiendesha shughuli zake bila leseni.

  3. Madereva daladala Arusha wagoma, abiria wapanda toyo

    Wakazi wa Jiji la Arusha wakiwamo wanafunzi waliofungua shule leo wamepitia msoto wa hali ya juu kutokana na kukosa usafiri.

  4. Korti yawaachia 14, wakaa rumande siku 642 bila kesi kuendelea

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru watu 14 baada ya kukaa mahabusu kwa siku 642 wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la unyang’anyi wa kutumia silaha na wizi wa vinywaji vyenye...

  5. Watafiti wagundua viuatilifu vya kuangamiza mmea hatari nchini

    Wanasayansi kutoka Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) wamefanikiwa kubaini viuatilifu vinavyoweza kuangamiza mmea hatari nchini ujulikanao kama 'gugu karoti'.

  6. Wasabato wafuturisha waumini wa Kiislamu kudhihirisha upendo

    Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Jimbo la Nyanza wamewafuturisha waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Shinyanga kama ishara ya mahusiano mema na ushirikiano kati ya waumini wa dini na...

  7. Elon Musk kuwekeza Tanzania

    Wakati Tanzania ikipokea maombi ya huduma ya intaneti kwa njia ya setelaiti (Starlink), wadau wamesema itachochea uchumi wa kidijitali na itakuwa nafuu na yenye kasi.

  8. Mshtuko wanasoka na dawa za kulevya

    Wanasoka wamekumbwa na mshtuko kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Sultan (40) akidaiwa kuwa na dawa za kulevya.

  9. Vita ya vigogo CCM hapatoshi

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inakutana jana kuchuja majina ya wagombea wa nafasi za uongozi mkoa, ambao baadhi yao watakuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa.

    New Content Item (1)
  10. Mganga wa jadi jela kwa kosa la kumuua mwenzake wakigombea mwanamke

    Mganga wa kienyeji, Ismail Ramadhani (27) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanaume mwenzake bila kukusudia, wakiwa wanagombania...

Previous

Page 4 of 9

Next