Walimu wapigwa msasa ufundishaji kidijitali Katika kuhakikisha shule za msingi na sekondari zinafundisha kidijitali, walimu wa shule hizo kutoka maeneo mbalimbali wamefunzwa kufundisha kwa njia hiyo ili kuboresha upatikanaji wa elimu bora.
Serikali kutoa ufadhili wahitimu 50 waliofaulu vizuri kidato cha sita Vijana 700 waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi kwenye matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana watanufaika na ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu ndani na nje ya nchi...
Wagonjwa wa ngozi waongezeka Bugando yashauri uvaaji kofia, nguo ndefu Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando imesema magonjwa ya ngozi yameongezeka kwa wananchi kutokana na mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi wa hali ya hewa na wananchi kupuuza dalili na mabadiliko...
Wafanyakazi maeneo haya wapo hatarini kuugua ‘Silicosis’ Watu wanaofanya kazi katika maeneo yanayozalisha vumbi ikiwemo migodini, mashineni na maeneo mengine kama hayo wametajwa kuwa hatarini kuugua ugonjwa wa Silicosis.
PRIME Tunahitaji maktaba za jamii kila wilaya Hapa mkoani Arusha, kwa mfano, tunayo maktaba moja tu ya jamii iliyopo jijini Arusha. Ipo nyingine moja ninayoifahamu. Lakini hiyo imejengwa na mtu binafsi aliye sasa nje ya nchi.
PRIME Nani wa kuwasemea wahadhiri wa vyuo vikuu nchini? Badala ya kuwa na madarasa ya kisasa, tunaendelea kutumia ubao wa kufundishia kama vile sekondari na shule za msingi.
Tabasamu kwa mabinti wenye ndoto kuwa wanasayansi Jacklina Furaha, alimaliza kidato cha sita lakini hakupata nafasi ya chuo kikuu kutokana na kupata daraja la tatu la alama 15. Alijaribu kusoma stashahada ya uhandisi wa madini katika Chuo Kikuu...
Wazazi mjitafakari maadili ya watoto Vitabu vitakatifu vimekuwa vikikazia wajibu huu muhimu wa wazazi ni pamoja na kulea sambamba na kuwafundisha watoto maadili ili nao wawarithishe watoto wao wakiwa na familia zao.
PRIME Wazazi hawa hatari malezi kwa watoto Ni sahihi kusema kuwa wazazi wana mchango mkubwa sana katika kujenga au kuvuruga tabia za watoto wao.
PRIME Huu hapa mbadala wa matumizi ya nguvu katika malezi Mtoto asiyeamini anapendwa hawezi kuwa na adabu.
PRIME Unawajua wake ngumi mkononi au ndoo ya taka? Kwa mwanamke, pengine kwa kuisoma makala haya, utajigundua kuwa wewe ni mke wa aina gani.
Sababu wanandoa kushindwa ‘kutoboa’ kiuchumi Wanandoa wengi hujificha au kupunguza taarifa kuhusu mshahara au mapato yao ya ziada, kwa hofu ya kupoteza uhuru wa kifedha au kuwekewa majukumu makubwa ya kifamilia.
PRIME Inawezekana kuwa wenza bila mapenzi ya mwili Lakini miongoni mwa vijana wa kizazi cha sasa, upo mtazamo mpya unaochipuka — upendo wa ‘kiplatoniki’, yaani, ule wa kirafiki wa kina usiohusisha uhusiano wa kimapenzi au kingono, unazidi kupewa...
Wanasayansi wabaini sababu usonji kukumba zaidi wavulana Wanasayansi wamebaini sababu ya kwa nini wavulana wana uwezekano mkubwa zaidi wa kuwa na usonji na tatizo la kutotulia ‘ADHD’ kuliko wasichana, huku kemikali iitwayo PFHxA ikihusishwa.
PRIME Utunzaji ngozi kwa wanaume wazua mjadala Kwa miongo kadhaa, huduma ya ngozi maarufu ‘skincare’ ilionekana kama jambo la wanawake, ikiambatana na watu maarufu, watu wa mitandao ya kijamii na wanamitindo wa urembo. Lakini mtazamo huo kwa...
PRIME Mbinu saba za kukuza uwezo wa akili, kufikiri Kuna tabia na mazoezi yanayoweza kusaidia na kukuza uwezo wa akili, na kwamba endapo yatazingatiwa, yanaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa mtu kupata magonjwa ya akili.
PRIME Watumiaji ‘energy drinks’ waja na mapya Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu na ripoti mbalimbali za afya, matumizi ya mchanganyiko huo si tu hayana msingi wa kisayansi, bali yanaweza kuwa na madhara makubwa kiafya.
Wazee 60+ wakae chonjo, magonjwa haya hatari kwao Kwa Tanzania na nchi nyingine duniani umri wa uzee ni miaka 60 kuendelea. Kitabibu umri huu ni moja ya kihatarishi cha kupata magonjwa yasiyoambukiza.
PRIME Watu hawa hatarini kuugua bawasiri Ugonjwa huu huathiri hadi asilimia 40 ya watu wazima, hasa walio na umri wa zaidi ya miaka 50.