Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Sh7,834 kwa siku ni maskini kupindukia
Benki ya Dunia (WB) imetangaza marekebisho ya kiwango cha kimataifa cha umaskini, ikipandisha kiwango cha chini kutoka Dola 2.15 za Marekani kwa siku (sawa na Sh5,614) hadi Dola 3.00 (Sh7,834)...