CCM Ruangwa: Majaliwa hatogombea tena ubunge Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025.
PRIME Kauli ya ‘mwanamme suruali’ ilivyosababisha mauaji Ni kweli ndoa inahitaji uvumilivu lakini kuna maneno ukimtamkia mumeo yanaweza yasikuache salama, hiki ndicho kilichotokea, baada ya mume kumuua mkewe bila kukusudia baada ya kuitwa mwanamume...
Majaliwa atoa kauli ubunge wa Ruangwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Jumatano, Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15.
PRIME Fyatu kutoa gari kwa kila mpika kura ya kula Kama mjuavyo, uchakachuaji, sorry, uchaguzi mkubwa umekaribia, na ninagombea urahis na lazima nitashinda hata kama ni kwa goli la mkono kama lile na Mapepe Tunaye. Hivyo, kwa vile mie ni muwazi...
PRIME Wasio tayari wang’atuliwe Kwa asilimia kubwa, akili za wabongo ni kama za kushikiwa. Kila siku benki zinatoa elimu, matangazo na ofa ili kuwahamasisha watu kujiwekea akiba. Lakini wabongo wanazikimbia benki hizo na kwenda...
PRIME Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu.
Ripoti ya kampuni ya Carbon Tanzania yaonyesha maendeleo makubwa katika jamii kutokana na faida za miradi ya hewa ukaa
Export Credit Financial Services inawawezesha wasafirishaji wa kitanzania kupitia ujumuishaji wa kifedha
PRIME Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu.
Zanzibar kuwakutanisha wadau kujadili Kiswahili Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 2, 2025 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fatma Hamad Rajab amesema watafanya shughuli zinazohusiana na lugha na utamaduni wa...
PRIME Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu.
Senene kutegwa na mashine Wazalishaji wa senene mkoani Kagera wanatarajiwa kuanza kutumia mashine maalumu za wadudu hao mara baada ya kukamilika kwa utafiti, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika uzalishaji.
Robo fainali Kombe la Dunia la klabu, mzigo upo hivi MASHINDANO ya Kombe la Dunia la Klabu 2025 inayofanyika Marekani yameingia hatua ya robo fainali, ambapo timu nane bora zinatarajiwa kupambana kujihakikishia nafasi ya kuwania tiketi ya nusu...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Kinachoendelea kesi ya Diddy Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya madai huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ikiendelea kutokana na kutokuwa...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...