Watu milioni 14 wanaweza kufariki baada ya USAID kupunguza misaada Utafiti uliochapishwa kwenye jarida la The Lancet jana Jumatatu umebaini hatua ya Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kupunguza msaada wa kifedha inaweza kusababisha vifo zaidi...
Rais Mwinyi awaweka pembeni RC, ma- DC wakiwamo wanaoutaka uwakilishi, ubunge Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za...
Majaliwa atoa kauli ubunge wa Ruangwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Jumatano, Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15.
Mtego wa senene kukuza kipato Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) imetengeneza mashine rafiki kwa mazingira ya kuvunia senene, wadudu wanaothaminiwa na kabila la Wahaya mkoani Kagera, lengo likiwa ni kukuza...
PRIME MC Alger yaitibulia Yanga kwa Mokwena Kocha wa zamani wa Wydad Casablanca, Rulani Mokwena, ameripotiwa kuwa kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu ya MC Alger, ambao ndiyo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Algeria (Ligue 1)...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Aaliyah katika ndoto za Ramos kumpata Pilar Ikumbukwe Aaliyah aliyefariki dunia Agosti 25, 2001 katika ajali ya ndege huko Bahamas, alitoa wimbo huo chini ya Blackground Records na Jive Records akiwa na umri wa miaka 15 na hadi sasa ni...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...