Mwaka 2024 ulivyopaisha utoaji huduma za afya Tanzania
Programu za mafunzo ya ndani na nje ya nchi zimeimarishwa ili kukuza ujuzi wa watumishi wa afya, hata hivyo changamoto bado zipo katika maeneo ya vijijini ambako kuna uhaba wa watumishi wenye ujuzi.