PRIME UCHAMBUZI WA MJEMA: Sababu 10 za ‘kibongo bongo’ kwanini asilimia 50 ya wabunge hawatarudi 2025 Wanasayansi wa masuala ya siasa wanabainisha sababu kadhaa zinazofanya baadhi ya wabunge wasichaguliwe tena.
PRIME Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa– 3 Inspekta Msuya alipinga mpango huo, akamshauri Kalanje na wakakubaliana, amchome Mussa sindano ya dawa ya usingizi, ambayo ingemfanya baada ya kuzinduka aeleza yote waliyoyataka. Kilichoendelea...
Diogo Jota wa Liverpool, mdogo wake wafariki ajalini Zamora, Hispania. Dunia ya soka imepigwa na butwaa kufuatia kifo cha mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota.
PRIME Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa-4 Watu saba walishtakiwa kwa kosa moja la kumuua kwa makusudi, mfanyabiashara wa madini, mazao ya biashara na mavazi, Mussa Hamis, Mkazi wa Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
PRIME Wasio tayari wang’atuliwe Kwa asilimia kubwa, akili za wabongo ni kama za kushikiwa. Kila siku benki zinatoa elimu, matangazo na ofa ili kuwahamasisha watu kujiwekea akiba. Lakini wabongo wanazikimbia benki hizo na kwenda...
PRIME Majaliwa aliwaweka matumbo joto wazembe na wabadhirifu Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitangaza kuwa hatagombea tena kiti cha ubunge, aliwaweka matumbo joto wazembe na ubadhirifu.
Ripoti ya kampuni ya Carbon Tanzania yaonyesha maendeleo makubwa katika jamii kutokana na faida za miradi ya hewa ukaa
Export Credit Financial Services inawawezesha wasafirishaji wa kitanzania kupitia ujumuishaji wa kifedha
Zitto agusa umasikini wa Watanzania, awapa mbinu Chama hicho kimefafanua kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ibara ya 9 (i) imeanisha juhudi zote zielekezwe katika kuondoa umasikini ambao kimedai Serikali imeshindwa kutekeleza jukumu la kupunguza...
Huu hapa mchanganuo waliochukua fomu za ubunge, uwakilishi na udiwani Z’bar Kwa upande wa wabunge pekee waliochukua fomu na kurejesha ni 485 huku upande wa uwakilishi wakiwa 400.
Zitto agusa umasikini wa Watanzania, awapa mbinu Chama hicho kimefafanua kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ibara ya 9 (i) imeanisha juhudi zote zielekezwe katika kuondoa umasikini ambao kimedai Serikali imeshindwa kutekeleza jukumu la kupunguza...
Kicheko kwa wasafirishaji wa Tanzania, Dubai ikiletwa ndege ya mizigo Huduma hii mpya ya mizigo kwa njia ya anga, inayoendeshwa na kampuni ya Tanzania ya Xerin Group Limited, itatumia ndege aina ya B737-800 freighter yenye uwezo wa kubeba hadi tani 20 kwa safari moja.
Gamondi atajwa Singida Black Stars Gamondi ni mmoja Kati ya makocha ambao walipata mafanikio akiwa na Yanga
Wawili wakabidhiwa tuzo za muziki wa injili Dar es Salaam. Wanamuziki wa nyimbo za injili nchini Alex Msama na Smart Boy leo Julai 3,2025 wameshinda tuzo ya EAGMA 'East Africa Gospel Music Awards'. Katika tuzo hizo zilizotolewa na Magreth...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...