Watoto wa mitaani wafunguka wanayoyapitia Wamesema lengo la kuhitaji kupatiwa mtaji ni waweze kujitegemea kimaisha, kuchangia pato la Serikali kupitia ulipaji wa kodi, lakini pia kupunguza wimbi kubwa la watoto wa mitaani na uhalifu.
PRIME Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo
Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza
PRIME Wazanzibar wengi hawana mpango wa kustaafu Kukosekana kwa elimu ya kujiandaa kustaafu, mfumo wa elimu usiomuandaa mtu kujiajiri na uwepo wa pensheni inayotolewa na Serikali kwa wazee zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu ya asilimia 47 ya...
Kalaba apata nafuu, aanza kuzungumza, kula ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa, Ofisa Uhusiano wa University...
Diamond, Ziiki hapatoshi, wadau washauri Hali haikuwa shwari katika kiwanda cha burudani, leo Ijumaa Aprili 19, 2024 baada ya msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuituhumu kampuni ya usambazaji muziki ya Ziiki kuzuia utolewaji...
Mafyatu tunakumiss Edward Sokoine Najua umelala kwa miaka 40. Juzi nilisikia chawa mmoja akikuita mzee. Kwa uchache, nikupe bonge la kumbukizi. Uliondoka mbichi, miaka 45 tena kwa utata. Hata hivyo, ilisemekana, ulifyatuliwa na...
PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.