PRIME Padri mwingine auawa kwa kumininiwa risasi akielekea ibadani Tukio la kuuawa kwa Padri Bett, limekuja siku chache tangu kuuawa kwa Padri Maina ambaye kifo chake kulihusishwa na masuala ya kisiasa.
Mnyika aibua kiini vita ndani ya Chadema, watawala watajwa Amedai kuwa Serikali imekuwa ikipinga maamuzi halali ya Baraza Kuu la Chadema lililofanyika Januari 22, 2025, ambalo liliidhinisha uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na wajumbe wa Kamati Kuu.
Mikoa hii ijipange kwa baridi Juni hadi Agosti Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kuanzia Juni hadi Agosti, 2025 kutakuwa na baridi kali na ya wastani katika mikoa sita nchini.
Dk Tulia atangaza rasmi nia kugombea jimbo jipya la Uyole Dk Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania, amesema pamoja na uamuzi huo kutoa fursa kwa wengine, lakini hatawaacha wananchi wa Mbeya Mjini.
Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kigeni Chuo hicho kimekuwa kitovu cha elimu ya juu, tafiti za kisayansi, na maendeleo ya fikra duniani.
PRIME Sababu wananchi kujitengenezea barabara, Tarura yatoa mwongozo Jukumu kubwa la Tarura ni kusimamia matengenezo, ukarabati na ujenzi wa mtandao wa barabara za wilaya zilizokuwa zikisimamiwa na mamlaka za serikali za mitaa na kuratibiwa na Ofisi ya Rais...
PRIME Kamati Kuu Chaumma kujadili mambo haya… Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kesho, Machi 24, 2025 kitafanya kikao chake cha kwanza cha Kamati Kuu tangu kupokea maelfu ya wanachama wapya waliotoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Zima waka ya umeme yaibua mjadala barazani, Serikali yaeleza sababu Tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara limeibua mjadala mkali miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wakilitaka Serikali kutoa maelezo ya kina kuhusu chanzo cha changamoto hiyo pamoja...
PRIME Kamati Kuu Chaumma kujadili mambo haya… Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kesho, Machi 24, 2025 kitafanya kikao chake cha kwanza cha Kamati Kuu tangu kupokea maelfu ya wanachama wapya waliotoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Bashe awaka wanasiasa wanaohujumu zao la pamba Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewakosoa baadhi ya wanasiasa na viongozi ambao kwa maelezo yake, wamegeuza kilimo cha pamba kuwa nyenzo ya kisiasa badala ya kusaidia kukiinua kwa maslahi ya...
Mayele aipa wakati mgumu Mamelodi Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo anayekipiga kwenye Klabu ya Pyramids ya Misri, Fiston Mayele amezidi kuwapa wakati mgumu wapinzani wao katika kuelekea mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Konde Gang, Ibraah wamalizana Uongozi wa lebo ya Konde Gang chini ya Meneja washeria Sandra Brown umeeleza kuwa tayari umemalizana na aliyekuwa msanii wao Ibraah na kuwa sasa yupo huru.
Watanzania wafundishwe sayansi ya data, AI kwa malengo Data ni mafuta mapya.’ Ni msemo maarufu uliotolewa na mwanahisabati Clive Humby mwaka 2006. Kama yalivyo mafuta ya petroli, yamekuwa rasilimali yenye thamani kubwa, ndivyo data imegeuka kuwa...
PRIME Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui.