PRIME Mawaziri wa Kikwete, JPM wanavyopambana kurejea mjengoni Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine...
Zanzibar kuwakutanisha wadau kujadili Kiswahili Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 2, 2025 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Fatma Hamad Rajab amesema watafanya shughuli zinazohusiana na lugha na utamaduni wa...
PRIME Mawaziri wa Kikwete, JPM wanavyopambana kurejea mjengoni Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine...
Senene kutegwa na mashine Wazalishaji wa senene mkoani Kagera wanatarajiwa kuanza kutumia mashine maalumu za wadudu hao mara baada ya kukamilika kwa utafiti, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika uzalishaji.
Diogo Jota wa Liverpool, mdogo wake wafariki ajalini Zamora, Hispania. Dunia ya soka imepigwa na butwaa kufuatia kifo cha mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota.
Kinachoendelea kesi ya Diddy Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya madai huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ikiendelea kutokana na kutokuwa...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...