Mahakama Kuu kutoa uamuzi leo maombi ya Lissu Lissu amefungua shauri la maombi Mahakama Kuu akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi dhidi yake ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni uliotolewa...
PRIME Wajumbe CCM wanoa vichinjio Vita ya usajili Simba, Yanga Mukhtsari Kwa upande wa Simba, Fadlu anaamini kikosi chake kinahitaji kuboreshwa kwa maeneo manne muhimu ambayo ni kiungo wa kuzuia, kiungo wa kushambulia...
PRIME Siku 170 za Mbowe nje ya siasa Zimetimia siku 170, tangu Freeman Mbowe alipowekwa kando kwenye uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya nafasi yake kuchukuliwa na Tundu Lissu huku maswali yakitawala...
PRIME UCHAMBUZI WA MJEMA: Profesa Kitila, umezunguka sana lakini jawabu ni Katiba mpya Jumanne ya Julai 8, 2025 nilipata bahati ya kufuatilia mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), akielezea mchakato...
Mahakama yawaita kwa dharura wadaawa kesi ya waumini Kanisa la Gwajima Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imewatia wadaawa katika shauri la maombi ya Kikatiba, lililofunguliwa na baadhi ya waumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, kufika mahakamani kesho...
PRIME KESI YA MAUAJI YA MUUZA MADINI MTWARA: Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa- 11 Hamidu Mwanga kutoka Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, alihitimisha kuwa ushahidi wa Jamhuri umethibitisha kuwa, Mussa Hamis alifariki na kifo chake hakikuwa cha kawaida.
Ripoti ya kampuni ya Carbon Tanzania yaonyesha maendeleo makubwa katika jamii kutokana na faida za miradi ya hewa ukaa
Mahakama Kuu kutoa uamuzi leo maombi ya Lissu Lissu amefungua shauri la maombi Mahakama Kuu akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi dhidi yake ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni uliotolewa...
Chaumma: Tukisubiri CCM watutungie sheria za kuwaondoa madarakani tutachelewa Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salumu Mwalimu amesema namna pekee ya kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani siyo kusubiria mabadiliko ya mifumo ya sheria, badala...
PRIME Siku 170 za Mbowe nje ya siasa Zimetimia siku 170, tangu Freeman Mbowe alipowekwa kando kwenye uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya nafasi yake kuchukuliwa na Tundu Lissu huku maswali yakitawala...
NMB, DSE walivyorahisisha ununuzi, uuzaji hisa kidijitali Benki ya NMB kwa kushirikiana na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), wamezindua ushirikiano wa kimkakati na wa kidijitali kwa ununuzi na uuzaji wa hisa za kampuni mbalimbali.
Chelsea, PSG ni fainali ya mkwanja mrefu New Jersey, Marekani. Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imethibitisha ubora wake katika soka baada ya kuichapa Real Madrid mabao 4-0, sasa ikitarajiwa kuvaana na Chelsea kwenye mchezo wa fainali...
Aunty Ezekiel aomba radhi, kuchapisha picha chafu Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Akizungumza na waandishi...
Daraja la JP Magufuli kielelezo cha maendeleo Katika hatua ya kihistoria kwa maendeleo ya miundombinu nchini, serikali ilishakamilisha ujenzi wa Daraja la JP Magufuli maarufu Kigongo–Busisi, ambalo ni refu zaidi kwa nchi za Afrika Mashariki.
Walimu wapigwa msasa ufundishaji kidijitali Katika kuhakikisha shule za msingi na sekondari zinafundisha kidijitali, walimu wa shule hizo kutoka maeneo mbalimbali wamefunzwa kufundisha kwa njia hiyo ili kuboresha upatikanaji wa elimu bora.