TLS, LHRC, Dk Slaa wamburuta mahakamani Waziri Katambi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa...
Profesa Wabanhu kumrithi Mahalu SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amemteua Padri wa Jimbo Katoliki la Geita, Profesa Emmanuel Wabanhu kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino...
Sh8 bilioni za Norway kuongeza kasi ya matumizi ya nishati safi Serikali ya Norway imeidhinisha ruzuku ya Krone 30 milioni za Norway (Sh8 bilioni) kwa Taasisi ya Kuendeleza Nishati Endelevu Tanzania (TaTEDO-SESO) ili kutekeleza mradi wa miaka mitatu...
Changamoto uhifadhi bahari zaundiwa jukwaa Zanzibar Jukwaa maalumu la wadau wa eneo la bahari ya Kaskazini-Mashariki mwa Kisiwa cha Unguja, limezinduliwa kwa lengo la kuratibu na kusimamia uendelezaji wa shughuli endelevu za bahari, kufuatia...
Heche: Sitishwi na mashambulizi dhidi yangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema hatishiki na mashambulizi yanayoelekezwa dhidi yake, akijifananisha na mchezaji hatari uwanjani...
Ileje kuja na mkakati ujenzi masoko ya kisasa kuimarisha kilimo Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepanga kuja na mkakati wa ujenzi wa masoko ya kisasa ya mazao pamoja na kuimarisha mfumo wa ushirika, lengo likiwa ni kuongeza thamani ya bei za mazao...
FIFA yaiandama Argentina kwa ujumbe wa kisiasa baada ya kuiondoa England Timu ya Taifa ya Argentina huenda ikakabiliwa na faini kutoka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) baada ya wachezaji wake kuonyesha bango lenye ujumbe wa kisiasa mara baada ya kuiondoa England kwa...
Kakama inavyoipa nguvu Burundi kukuza, kuimarisha Kiswahili EAC Burundi imeendelea kuonyesha kivitendo kuwa inaipa lugha ya Kiswahili nafasi muhimu katika kuimarisha mawasiliano, biashara, elimu na ushirikiano ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki.
Visa vya Ebola DRC vyafikia 2,011 wahudumu wagoma Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kushika kasi baada ya idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kufikia 2,011 huku vifo vikifikia 754, wakati...