ACT Wazalendo yajitenga na mpango wa kuwa chama kikuu cha upinzani
Chama cha ACT Wazalendo, kimeweka wazi msimamo wake kuwa, harakati na mikakati kinayoifanya hailengi kupambania nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini, bali kiu yake ni kushinda uchaguzi...