TAARIFA KWA UMMA Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa kufuatia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni zetu za...
Ajali yaua wawili Pemba Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mussa Mwakasula amethibitisha kutokea ajali hiyo ya gari ya kampuni ya ujenzi wa barabara IRIS baada ya kuacha njia na kuwafuata watu waliokuwa...
Fahamu vyama vilivyotoa marais Marekani nje ya Republican, Democrats Marekani inatarajia kufanya uchaguzi mkuu Novemba 5, mwaka huu huku kampeni za uchaguzi zikitawaliwa na vyama viwili vya Republican na Democrats, ambavyo ndivyo vimetoa marais wengi nchini humo...
Sekta binafsi, wachumi waeleza ulipo mkwamo ongezeko vituo vya gesi asilia Mkurugenzi wa Mkondo wa Chini wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Emanuel Gilbert wapo mbioni kumaliza kero ya madereva kutumia muda mwingi kusubiri huduma ya gesi.
Yanga Princess yaivua Simba ubingwa Ngao ya Jamii, ikitinga fainali Yanga Princess imetinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii ya Ligi ya Wanawake baada ya kuifunga Simba Queens kwa mikwaju ya penalti 4-3 kwenye nusu fainali ya pili ya mashindano hayo iliyochezwa...
Mambo matatu kwa Mondi akiwa na miaka 35 Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari amefanya makubwa katika...
Ruto anavyomchinja Gachagua kwa kisu alichokificha kwenye tabasamu Wakanda ni dola ya kufikirika Afrika Mashariki, ndani ya mfululizo wa vitabu vya Fantastic Four. Shujaa Black Panther ambaye jina lake halisi ni T'Challa, anafanya kila kitu kuhakikisha anailinda...
Pre-Form One na msimu wa shule binafsi ‘kupiga fedha’ Baada ya kumalizika kwa mitihani ya kuhitimu darasa la saba, wazazi kote nchini Tanzania wanapata furaha isiyo kifani kuona watoto wao wamevuka hatua hiyo muhimu katika safari ya elimu.