AI yaanza kutumika kutengeneza chanjo za Ebola, Uviko-19, wataalamu watia neno Wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiendelea kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliosababisha vifo vya watu 232, matumaini mapya yanaibuka katika ulimwengu wa sayansi baada ya...
Rais Samia aagiza kuondolewa vikwazo vinavyokwamisha haki Amesema kwa kipindi cha miaka mitatu tangu ilipoanzishwa kampeni hiyo (2023-2026), wananchi zaidi ya milioni nne wamefikiwa na kampeni hiyo katika kusikiliza na kutua changamoto zao za kisheria.
Vyama vya siasa Tanga vyataka wakandarasi wabanwe Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Tanga, Ramadhan Manyeko, amesema miradi inayobainika kuwa na kasoro wakati wa ukaguzi wa Mwenge wa Uhuru inapaswa kuwajibisha wahusika ili kudhibiti ubadhirifu...
Namibia, Tanzania zatia saini mkataba kukuza ufugaji nyuki na utalii Tanzania na Namibia zimeingia mkataba wa ushirikiano wa miaka mitano wa kuendeleza ufugaji nyuki na utalii, huku kukiwa na mpango wa kuanzisha taasisi ya utafiti na mafunzo ya ufugaji nyuki...
Azam ‘pungufu’ yatinga fainali ikiichapa Yanga Licha ya kucheza pungufu kwa dakika 52, Azam FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB iliyochezwa katika Uwanja wa...
Anko Kitime: Teknolojia inavyobadili burudani ya muziki Kwa sili watu waliburudika kwa muziki kila kitu kikiwa mubashara. Wanamuziki walilazimika kufanya maonyesho yao mbele ya wapenzi wa burudani hiyo. Na kabla ya matumizi ya umeme, vyombo...