ACT -Wazalendo yaijibu Chadema madai ya usaliti ACT-Wazalendo imesema wao ndio chama pekee, kina wajibu na ushawishi wa kutosha, ukiondoa CCM Zanzibar, hivyo kuna madhara yanayotokea visiwani humo yanayogusa wanachama wao na wana wajibu...
Kipa wa zamani wa Yanga afariki kwa ajali ya bodaboda Unamkumbuka yule kipa Clause Kindoki aliyewahi kuitumikia Yanga? Jamaa amefariki jana Jumamosi Julai 11, 2026 kwenye ajali ya pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda ikiihusisha pia lori la mizigo.
Hatari kuruhusu mtu atumiwe fedha kupitia akaunti yako Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewaonya wananchi dhidi ya kuruhusu akaunti zao za benki au huduma nyingine za kifedha kutumika kupokea au kuhamisha fedha zisizojulikana chanzo chake.
Kisa kutishiwa kuuawa agoma kurudi Colombia Mshambuliaji wa Colombia, Jaminton Campaz, anaripotiwa kutorejea nchini kwao baada ya taifa lake kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 kutokana na hofu ya usalama wake kufuatia kupokea vitisho...
Hanlink Mobility: Gwiji wa usafirishaji Afrika Mashariki atua Tanzania, aahidi mapinduzi ya viwanda na ajira
Watu Credit (Tanzania) Limited yaadhimisha miaka mitano ya ujumuishaji wa kifedha, ikiwezesha mikopo ya zaidi ya Sh 700 bilioni
Polisi kujenga vituo vya ukaguzi wa magari nchini Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi Tanzania (TPF Corporation) lina mpango wa kujenga mtandao wa vituo vya kisasa vya ukaguzi wa magari nchi nzima katika jitihada za kuimarisha mfumo wa...
Mataifa 20 Afrika kujadili fursa za mafuta na gesi Zanzibar Zaidi ya wadau 250 wa sekta ya mafuta na gesi kutoka mataifa 20 ya Afrika wanatarajiwa kukutana Zanzibar kujadili mustakabali wa sekta hiyo, fursa za uwekezaji na namna ya kuimarisha ushirikiano...
ACT -Wazalendo yaijibu Chadema madai ya usaliti ACT-Wazalendo imesema wao ndio chama pekee, kina wajibu na ushawishi wa kutosha, ukiondoa CCM Zanzibar, hivyo kuna madhara yanayotokea visiwani humo yanayogusa wanachama wao na wana wajibu...
Vijana 30 waepushiwa adha mikataba ya bajaji Zaidi ya vijana 30 katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamepatiwa mikopo ya bajaji kupitia ushirikiano wa Akibabot Saccos na Benki ya Equity, hatua inayolenga kuwaondoa kwenye mikataba...
Kisa kutishiwa kuuawa agoma kurudi Colombia Mshambuliaji wa Colombia, Jaminton Campaz, anaripotiwa kutorejea nchini kwao baada ya taifa lake kuondolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 kutokana na hofu ya usalama wake kufuatia kupokea vitisho...
Serikali yasisitiza masomo ya sayansi kukuza uchumi wa kidijitali Serikali imesema itaendelea kuwekeza katika sekta za kimkakati, hususan elimu ya sayansi, ikieleza kuwa maendeleo ya Taifa yanategemea uwepo wa wataalamu wa sayansi na teknolojia watakaoboresha...