Wataja mwarobaini kumaliza migogoro ya ardhi Zanzibar Migogoro ya ardhi inayojitokeza mara kwa mara Zanzibar inachangiwa na ukosefu wa mpango mkuu wa ardhi, wamesema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Chadema: Bila mikataba bora, wananchi hawatanufaika na rasilimali zilizopo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema uongozi thabiti na wenye maono unahitajika ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya kusini wananufaika moja kwa moja na rasilimali ya gesi asilia...
Rekodi ngumu zinazoshikiliwa Kombe la Dunia Ikiwa zimebaki siku nane kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika kwa pamoja katika Mataifa ya Marekani, Canada na Mexico, zipo rekodi ambazo ziliwekwa na magwiji wa soka...
Jiongeze: Vipaji na maisha ya hovyo Bongo Kuna pisi nyingi ndani ya 'gemu' la Bongo Fleva'. Naongelea zile manzi zilizoibuka baada ya Jide, Ray C, Stara Thomas, Enika na wengine. Achana na wachanaji Zay B, Rah P, Sister P, Witnes na Dataz.
CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa Hospitali ya CCBRT imezindua kampeni ya kitaifa ya kuchangisha Sh3 bilioni kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto za kiafya, huku ikiweka wazi kuwa, kujiondoa kwa...