Viongozi 16 CUF wajiuzulu Safari ya Chama cha Wananchi (CUF) kuwania dola inaendelea kukumbwa na changamoto baada ya viongozi wake 16, akiwamo Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano kwa Umma, Mohamed Ngulangwa...
Hofu ya Juni 30 wahamiaji Afrika Kusini, Tanzania kuwarejesha raia wake Hali ya taharuki imeendelea kutanda nchini Afrika Kusini huku maelfu ya wahamiaji wakianza kurejea katika nchi zao za asili kutokana na hofu ya kuongezeka kwa mashambulizi na maandamano ya...
Kipigo Ujerumani chamstaafisha Manuel Baada ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026, kipa wa timu hiyo, Manuel Neuer ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Idara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula: Nguzo muhimu ya kuhakikisha upatikanaji na usalama wa chakula Zanzibar
Kitendawili kipya mazungumzo ya Iran, Marekani Doha Kitendawili kipya kimeibuka kuhusu mustakabali wa mazungumzo kati ya Iran na Marekani baada ya kauli zinazokinzana kuhusu mkutano uliodaiwa kupangwa kufanyika Doha, Qatar, hali inayozidisha...
Watendaji kada ya afya Z’bar sasa kupimwa kwa ubora wa huduma Baada ya uwekezaji katika miundombinu, vifaa na fedha katika sekta ya afya, Wizara ya Afya Zanzibar imesema sasa jukumu lililobaki kwa viongozi ni kuhakikisha uwekezaji huo unazalisha matokeo...
Serikali kuangalia taasisi za kuzifutia utegemezi Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amesema mapema Julai mwaka huu, ofisi yake itafanya mapitio ya kina kubaini taasisi za umma zinazotakiwa kukatiwa au kupunguziwa utegemezi wa ruzuku kutoka...
Kipigo Ujerumani chamstaafisha Manuel Baada ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026, kipa wa timu hiyo, Manuel Neuer ametangaza kustaafu soka la kimataifa.
Nyimbo zilizomfanya Joh Makini kuwa legend wa hip-hop Bongo Rapa Joh Makini amekuwa akifanya vizuri tangu kipindi cha kundi la River Camp hadi sasa Weusi ambapo nyimbo zake zimeacha kumbukumbu nyingi kwa mashabiki wake
Vipimo kwa mabondia viwe lazima nchini Wiki iliyopita, gazeti hili lilichapisha ripoti maalum ya uchunguzi kuhusu vipimo vya afya kwa mabondia kabla na baada ya kupanda ulingoni.
Hiki hapa kifaa kipya cha kijanja kukupima afya yako Kadiri siku zinavyozidi kwenda ndipo matumizi ya vifaa vya kisasa vyenye teknolojia ya hali ya juu vinazidi kushika kasi kama kifaa hiki kipya kinachotumia akili unde (AI) kiitwacho ‘Fitbit Air’...