Chama cha AAFP chaunga mkono maridhiano ya kisiasa Zanzibar
Chama cha Wakulima Zanzibar (AAFP), kimesema kinaunga mkono maridhiano ya kisiasa kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo, kikieleza kuwa hatua hiyo inaweza kufungua ukurasa mpya wa...